
Katika kizaza cha kugombea kiti cha Urais Nchini Marekani Mgombea wa Republican Gov. Mitt Romney wa Massachusetts tayari umekwisha piga kura katika Jimbo lake mitaa ya Beech Center ndani ya Belmont, Massachusetts. kama mnavyomuona katika picha.

Mitt Romney akiwa na mkewe Ann akiwa katika pirika za mpango mzima wakupiga kura mitaa ya Beech Center ndani ya Belmont, Massachusetts. kama mnavyomuona katika picha.

Kazi ya kupiga kura imemaliza kwa Mitt Romney pamoja na mkewe Ann huko Beech Center

Obama akitoa changamoto za kuwapigia watu simu ili wapate kujitolea katika kampeni za uchaguzi

Kijana wa Chicago huyu karibu na Nyumbani South Side, Rais Obama akionyesha ujasiri na tabasamu languvu, mbele ya vyombo vya habari baada ya kutumbukiza kura yake kisandukuni huko ndani ya Jimbo la Chicaco.

Vice President Joe Biden apiga kupika kura Jijini Greenville, Delaware

Ray akipiga kura huku akishindikizwa na Mkewe Janna, mtoto wake wakiume Charlie na Liza wakike. Picha via dailymail.co.uk

Vice President Joe Biden apiga kupika kura Jijini Greenville, Delaware

Ray akipiga kura huku akishindikizwa na Mkewe Janna, mtoto wake wakiume Charlie na Liza wakike. Picha via dailymail.co.uk



No comments:
Post a Comment