If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Wednesday, January 9, 2013

Sikiliza kwa makini Audio Mahojiano na Balozi Mwanaidi Maajar

Mahojiano kati ya JAMII PRODUCTION na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake Mhe Mwanaidi Maajar ambapo amezungumzia mambo mbalimbali kuanzia historia yake, kazi zake, changamoto anazokutana nazo na mengine mengi.

Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mhe. Mwanaidi Maajar akiwa na Mzee wa changamoto wetu, Mubelwa Bandio, katika mahojiano yaliofanyika Siku ya Jumanne January 8, 2013 ndani ya Ubalozi wa Tanzania Washington DC Nchini Marekani.

  
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mhe. Mwanaidi Maajar. Mzee wa changamoto wetu, Mubelwa Bandio

Sikiliza Mahojiano 

No comments:

Post a Comment

Maoni yako