Bei ya mafuta ya Petroli na Diesel wilayani lushoto imepanda kufikia shilingi 3000/=hadi shilingi 3500/= kwa lita kwa zaidi ya wiki Moja sasa kufuatia vituo vyote vya mafuta kusitisha kuuza huduma hiyo kwa kile kinachodaiwa kuwa bei ya jumla ya mafuta iliyotangazwa na serikali imepanda pamoja na gharama za usafirishaji hadi wilayani humo.



No comments:
Post a Comment