
Ebou Shatry Niko nafuraha kubwa kwa timu nipendayo Yanga kuwachapa SIMBA Bao 2 hii imenipa moyo sana wakuendeze Mapenzi nilioachiwa na Bibi yangu ambaee alikua ni Gwiji hashikiki wa timu ya yanga Marehemu R.I.P Bi Mwana Rukia ushindi muhimu kwa KUWABAMIZA SIMBA wakuja tu Msimbazi...Yanga Ooyeeeeeeeeeeeeeee!



No comments:
Post a Comment