Juu na chini ni Wasanii Masanja mkandamizaji na Shilole katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi wa sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la Utamaduni wa Kiswahili, Bwn. Baraka Daudi alipokwenda kuwapokea walipotinga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.
Wasanii Masanja mkandamizaji na Shilole katika picha ya pamoja na Bwn. Baraka (Picha ya kulia) Asha Haris akiwa na Shilole kwenye mapokezi



No comments:
Post a Comment