If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Monday, June 17, 2013

Uchaguzi mdogo jimbo la Chambani

Mpigakura Khadija Khamis Khatib (69) akitimiza haki yake ya kupiga kura kwenye kituo cha kupigia skuli ya Ukutini kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Chambani Wilaya ya Mkoani

Mwandishi wa Habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali, Zanzibar Leo Ofisi ya Pemba, Haji Nassor Mohammed akizungumza na Mgombea Ubunge wa jimbo la Chambani Kupitia Tiketi ya CUF, Yussuf Salim Hussein, huko katika kituo cha Ngwachani


KIJANA Seif Awesu Ali (20) akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi baada ya kufikishwa hapo na baadhi ya viongozi wa vyama wakidai kuwa ni kijana aliepandikizwa ambapo baadae aliachia kwa vile hakuna na kitambulisho sahihi cha kupigia kura

Mpigakura Asha Salim ambae ni mgonjwa akishuka kwenye gari kwa ajili ya kushiriki katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chambani


MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Chambani kwa tiketi ya CHADEMA Siti Ussi Shaibu akizungumza na mwandishi wa habari wa ZENF FM Is-haka Mohamde Rubea karibu na kituo cha kupigia kura cha skuli ya Ukutini kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Chambani

Waandishi wa habari wakiwa kazini kumhoji mbunge mteule wa jimbo la CHAMBANI jana usiku, huko mzingani

Picha zote na Haji Nassor na Abdi Suleiman, Pemba Via ZanziNews

No comments:

Post a Comment

Maoni yako