If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Monday, July 1, 2013

Swahilivilla akutana na wasanii waTanzania Masanja Mkandamizaji na Shilole Ndani ya Washington DC

Cheif wa swahilivilla Abou Shatry akutana na wasanii waTanzania Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji na Zuwena Mohamed Maarufu kwa jina la Shilole

Abou Shatry akiwa na msanii  Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji  

Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji au Mchungaji Mtarajiwa) Masanja Mkandamizaji ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, mzaliwa wa mkoa wa Iringa kwa Ebony FM huko.

Masanja Mkandamizaji alianza kazi ya uigizaji takriban miaka 10 iliyopita na ameweza kujipatia umaarufu katika fani ya uchekeshaji, mbali na kushiriki katika filamu na vichekesho mbalimbali hivi sasa yupo kwenye kundi maarufu la vichekesho kwa jina la “The Orijino Komedi” linalorusha vipindi vyake katika TBC1.

Cheif wa swahilivilla Abou Shatry akiwa na Msanii wa kiTanzania  Zuwena Mohamed Maarufu (Shilole)

Vile vile kukutana na Zuwena Mohamed Maarufu kwa jina la Shilole ambae ni mkali wa viuno katika anga zake anapokua jukwaani, Shilole alianzia kupata umaarufu kupitia bongomovies na baadaye kuhamia kwenye bongoflava na bila ya shaka anafanya vizuri sana huko kwa music, kama kubaochake kimoja ninachokizimia cha "Dudu'' kisikilizie ndani ya youtube (youtube.com/watch?v=8HK32nVmzNE)


Masanja pamoja na Shilole wamewasili Washington DC Siku ya Jumapili June 30, 2013, kwa sherehe Maalumu ya Miaka 3 ya blog Vijimambo pamoja na Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili litalofanyika Siku ya Jumamosi July 6, 2013 kwenye ukumbi wa Hampton Conference Centeru liopo Hampton Pl,
Mjini Capitol Height, Maryland

Mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Rais Mustaafu Ali Hassan Mwinyi ambaee anatarajiwa kuwasili Jiji Washington, DC Siku ya Alhamisi July 4, kwaajili ya mapokezi na kujianda na mpango mzima wa tamaduni mbali mbali, vikiwemo vikundi vya utamaduni, wana mitindo wa mavazi mbali mbali kuwakilisha, vyakula vya kiTanzania, pamoja na hao wasanii kutoka nyumbani.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako