If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Sunday, August 25, 2013

Historia March Miaka 50 tangu kutoa hutuba mwanaharakati Martin Luther King Jr."I Have a Dream" speech Washington DC

Maelfu ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali nchini  wamejitokeza kwa wingi jijini Washington DC Siku ya Jumamosi  Aug 24, katika maandamano ya kuunga mkono kumbukumbu ya  historia  March Miaka 50 tangu kutoa hutuba mwanaharakati Martin Luther King Jr."I Have a Dream" speech Siku ya Aug. 28, 1963



Picha ya kumbukumbu ya  historia  ya   mwanaharakati Martin Luther King Jr. alipokua akitoa hotuba ya "I Have a Dream" speech  Aug. 28, 1963 /photo google.

Maandamano hayo makubwa yaliofanyika National Mall yaliambatana na hotuba mbalimbali za wanaharakati, na viongozi wakupigania haki mbalimbali za kiraia nchini Marekani,  kulisomwa hutuba mbalimbali na mwanasheria mkuu wa Serikali Eric Holder, Ufunuo Al Sharpton; Rep John Lewis, D-Ga;. Nyumba Minority Kiongozi Nancy Pelosi, D-Calif;. House Minority Whip Steny Hoyer, D-Md; Myrlie Evers-Williams, mjane wa waliouawa mwanaharakati wa haki za kiraia Evers MEDGAR; Newark, NJ, Meya na New Jersey Kidemokrasia Seneti mgombea Cory Booker; Mama wa Trayvon Martin, na viongozi wa makundi ya kiraia-haki za binadamu.

Kumbukumbu ya Hutuba ya Dream" speech ilitolewa mwenzi wa  Aug. 28, 1963 ambayo ilihudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi National Mall

Sikiliza hotuba ya Rev. Al Sharpton

Visit NBCNews.com for breaking news, world news, and news about the economy


Wanaharakati mbalimbali waliokusanyika Lincoln Memorial Washington DC wakitoa hotuba Historia March Miaka 50 tangu kutoa hutuba mwanaharakati Martin Luther King Jr."I Have a Dream" speech  Washington DC (Picha na swahilivilla.blogspot.com) Wananchi mbalimbali waliojitokeza Lincoln Memorial  katika maandamano yaliofanyika Washington DC National Mall Siku ya Jumamosi Aug 24, 2013 Wananchi wengi waliojitokeza katika maandamano yaliofanyika Washington DC National Mall Siku ya Jumamosi Aug 24, 2013 Wanachi waliobeba mabango yenye ujumbe unaohuso haki za binaadamu wakitembea National Mall  kuelekea  Lincoln Memorial Washington DC
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye maandamo wakiwa wameshikilia bango lenye ujumbe wa Trayvon Martin kijana alieuwawa kwa kupigwa risasi na mtu mwepe.

1 comment:

Maoni yako