If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Wednesday, August 28, 2013

Sikiliza na angalia kwa makini Video za Mjadala wa Rasimu ya Katiba Mpya DMV Pt I & 2

Karibu katika sehemu ya kwanza na ya pili  za mjadala uliohusisha BAADHI viongozi na wanaharakati wa siasa waishio Washington DC

Katika sehemu hii, wachangiaji ni viongozi wa CHADEMA tawi la Washington DC ambao wameeleza mtazamo wao na wa chama chao kuhusu rasimu hiyo.

Viongozi hao ni Mwenyekiti wa Tawi Ndg. Kalei Pandukizi, Katibu wake ambaye pia ni Afisa Habari Bwn Liberatus Mwang'ombe na Mweka Hazina wa Tawi Bwn. Ludigo Mhagama

Katika sehemu ya pili waliungana na mwanaharakati wa chama cha CUF ambaye pia ni mmoja wa waasisi na Katibu wa Zanzibar Diaspora USA Bwn. Shamsi Abdul

Karibu uungane nasi



1 comment:

  1. wakati mnaomgea muwe na statistic hao milioni 4 nisawana dar zima siwalaumu lakini mpo marekani

    ReplyDelete

Maoni yako