If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Tuesday, January 21, 2014

Slaa akosoa baraza jipya la mawaziri Tanzania

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itashiriki katika mkutano wa Geneva 2 kwa ajili ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa Syria lakini bila masharti yoyote.

Huku akiashiria mwaliko wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa Iran wa kushiriki mkutano huo, Marzie Afkham amesema, ingawa inaunga mkono kutatuliwa kwa njia za kisiasa mgogoro wa Syria lakini Tehran haikubali masharti na kwamba Iran ni miongoni mwa nchi za mwanzo zilizosisitiza kuwa mazungumzo ndiyo njia pekee ya kutatuliwa mgogoro huo.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran aidha amesema, mkutano wa Geneva 2 unaweza kuandaa mazingira mazuri kwa ajili ya kuchukuliwa hatua zinazofaa zinatakazowezesha kutatuliwa mgogoro wa Syria.

Hayo yanajiri huku kundi la wapinzani wa Syria la SNC likitishia kuwa, halitashiriki mkutano huo utakaofanyika Januari 22 iwapo Iran pia itashiriki.

Via kiswahili.irib.ir

1 comment:

  1. KICHWA CHA HABARI KINGINE NA HABARI NYINGINE VP? SLAA NA SYRIA WAP NA WAPI?

    ReplyDelete

Maoni yako