If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Monday, June 9, 2014

Papa Francis adiriki ibada ya pamoja na ma rais Shimon Peres na Mahmoud Abbas

United in prayer: Political and religious differences were put to one side last night as Israeli President Shimon Peres (left) and Palestinian President Mahmoud Abbas (right) joked and hugged at Francis' Vatican residence before attending a sunset invocation of Jewish, Christian and Muslim worship
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis na ma rais Shimon peres wa Israeli pamoja na Mahmoud Abbas wa Palestina

Na Ali Bilali

Kwa mara ya kwanza katika historia ya kanisa katoliki, kiongozi wa kanisa hilo Papa Francis amefanya sala ya pamoja na rais wa Israel Shimon Peres na rais wa mamlaka ya Palestina Mahamoud Abbas, kwenye tukio lililolenga kuwaleta pamoja vongozi hao.

Ma rais Shimon Peres (G) na Mahmoud Abbas wakipeana mkono huku Papa Francis akiangaliauin 2014.

REUTERS/Max Rossi

Akizungumza mara baada ya kufanya sala ya pamoja na viongozi hao, papa Francis hakusita kutoa wito kwa pande hizo mbili kumuogopa Mungu na kuhakikisha wanapata suluhu ya kudumu kwenye eneo lao na eneo zima la mashariki ya kati.

Papa Francis amesema maombi haya wala mkutano wake na viongozi wa Israel na Palestina hayakuwa kisiasa lakini ni kujaribu kuwajengea imani kuhusu umuhimu wa amani.

Kwenye hotuba yake rais wa Israel Shimon Peres amekiri kukerwa na mzozo unaoendelea kati yake na Palestina na kwamba anatamani siku moja kuona mzozo huu ukiisha.


Kwa upande wake rais wa mamlaka ya palestina, Mahamoud Abbas amesema kuwa nchi yake inataka kuona amani kati yake na Israel inapatikana ili kuwaondolea shida wananchi wa Palestina.

Kwenye maombi haya, papa Francis alijumuika pamoja na viongozi wa madhehebu ya Coptic, Othoerdox na wale wa kiislamu ambao walifanya sala pamoja.

1 comment:

  1. unapo sema walifanya swala ya pamoja lazima ujuwe nini swala , niibadaya kumuelekeya mungu, jee mungu gani, ikiwa hapo kila mmoja na mungu wake hivyo si swala kafara tuu kislamu swala ni ibada ya kumuelekeya allah si muhamad, wakiristo wana muelekeya mtoto wa mtu alo kuwa akinya na kuliya kutaka msada wakitoto, na musa naye ndo kabisaa alitupwa baharini haswa bila kuweza kujisaidiya ila kwa msada wa aliye muumba hapo kidogo basi hawa mayahudi na hawa waislamu ,huyu mungu allah huwenda wakawa karibu naye, kutokana na kumbu kumbu ,haya sasa huyo anosuluhisha au anoswali na kujipa utume kufanya kazi ya mungu ,kweli yoka sawa ha hao ano waombeya, mbona viroja hivi, hizi ni siyasa tuu,

    ReplyDelete

Maoni yako