
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Katibu Mkuu wa Chamba Cha Wananchi (CUF) Mshindi wa Urais wa Oct 2015 na Makamo wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar, Simba wa Nyika - Maalim Seif Sharif Hamad, atanguruma hadharani ambapo pamoja na mambo mengine, ataelezea kwa kina na kama kawaida yake kwa ufasaha kile kilichotokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 25 mwaka jana visiwani Zanzibar na mwelekeo wa Demokrasia Tanzania kwa ujumla na Uhuru wa kujieleza una vyominywa na utawala wa Magufuli.
Siku: Jumamosi tarehe 18 Juni, 2016.
Wakati: Kuanzia saa tisa jioni mpaka saa moja usiku kwa majira ya Marekani ya Mashariki.
Mahali: Tabeer Langley Park. Adress 1401 University Blvd E
Hyattsville, MD 20783
Usingoje kuhadithiwa au kusoma maelezo yaliyopotoshwa, njo mwenyewe na maswali yako na yatajibiwa bila utata.
Nyote Mnakaribishwa
Nyote Mnakaribishwa



No comments:
Post a Comment