Mkutano uliofanyika Siku ya Jumatabo Sept 5, 2012 kwenye ukumbi wa Mirage Hall - Hyattsville, Maryalnd Nchini Marekani, uliandaliwa rasmi na Uongozi wa Jumuiya ya waTanzania waishio DMV, kwa ajili ya manufa ya waTanzania wanaoishi DMV, Mkutano huo ulihudhuriwa na Uongozi wa Aznia Bank, ambao uliwakilishwa na Twisa Mwambona, Jackson Lohay na Charles Singili, pamoja na Rehema Chuma ambae alikuwa Muakilishi rasmi wa Bima ya WESTADI.
Rais wa Jumuiya Mhe. Iddi Sandaly akifungua rasmi Mkutano huo ulioandalia na kwa Jumuiya ya Watanzania waishio DMV kuhusu umuhimu wa Bima ya WESTADI uliowakilishwa na mtaalamu Bibie Rehema Chuma, ambae akiwaelezea wanajumuiya umuhimu wa kujiunga na Bima ya WESTADI.
Wawakilishi wa Aznia Bank, (kwanza kushoto) Twisa Mwambona, akifatitwa na Jackson Lohay pamoja na Mkurugenzi wa Aznia Bank Charles Singili Charles Singili (Wakwanza kulia )
Mkurugenzi wa Aznia Bank Charles Singiliakitoamaelezo kuhusu umuhimu wa Aznia Bank, (Picha ya Kulia),Twisa Mwambona akielezea mfumo mzima wa kujiunga na tawi hilo. Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea website yao ni www.azaniabank.co.tz/
Baadhi ya wa waTanzania wa DMV waliohudhuria katika mkutano huo uliofanyika Siku ya Jumatabo Sept 5, 2012 kwenye ukumbi wa Mirage Hall - Hyattsville, Maryalnd Nchini Marekani.
Baadhi ya waTanzania waishio DMV wakisikiliza kwa makini mkutano huo
Mwana Jumuiya ya watanzania Loveness Mamuya akiongea jambo na Katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwna Amos Cherehani.
Wanajumauiya waliouliza (Kulia) Ismail pamoja na Mama Kimolo (Kushoto) wakiuliza maswali kwa watalamu wa Mkutano huo.
Mwanajumuiya ya DMV Mussa Linga pia hakuwa nyuma katika ulizaji wa masualikwenye mkutano huo

Katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwna Amos Cherehani,akiuliza swali, pamoja na Mama Majura
Dada Gloria Raymon, akiwa na msanii wakitambo Nchini Tanzania Bibie Salama Manyoka pia alikuwepo katika mkutano uliohudhuriwa na Baadhi ya waTanzania waishio DMV Siku ya Jumatano Sept 5, 2012 (Picha zote na swahilivilla.blogspot.co)



No comments:
Post a Comment