Kundi zima la Rajab and Kithara Taarab lenye kupiga mziki wa mahadhi ya mwambao kutoka Zanzibar, walipotumbuiza siku ya Jumanne Sept 6. ndani ya ukumbi wa The John F. Kennedy Center for the Performing Arts Jijini Washington. Rajab and Kithara watakua hapa Marekani mwezi mzima wakitumbuiza States mbali mbali hapa Marekani. kwa ratiba zao bofya hapa centerstageus.org
Mmoja wa waimbaji wa kundi zima la Rajab and Kithara, Saada Nassor, akitumbuiza wimbo wa Chungu, ndani ya ukumbi wa The John F. Kennedy Center for the Performing Arts iliopo Jijini Washington. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
Saada Nassor, akionyesha pozi wakati anawatumbuzia Wamarekani.
Makame Faki akitumbuiza wimbo wa "Salaam Aleikum"
Makame Faki akiimbaa wimbo wa "Salaam Aleikum"
Wataalamu wa upigaji wa vyombo vya mahadhi ya mwambao, mpiga ngoma Foum Faki, (kushoto) akiwa na mpiga bass kitaa, Daudi Shahil, wakitumbuiza wageni waalikwa
Kundi zima la Rajab and Kithara Taarab, Zanzibar walivyotumbuiza Jijini Washington
Rajab Suleiman akitoa shukurani kwa wageni wote waliohudhuria katika tamasha
Saada Nassor akiwa na Mmoja wa Wazanzibari waliohudhuria katika Taarab hiyo
Mtaalamu wa ngoma ya Kidumbaki Zanzibar, Makame Faki, (kushoto) Suleiman Rajab (kulia) akipata picha ya pamoja na Wawakilishi wa Zadia, Bwna Muhammed Adam Dos, baada ya kumaliza onyesho la Taarab hiyo.
Mtaalamu wa ngoma ya Kidumbaki Zanzibar, Makame Faki akipata picha ya pamoja na Cheif wa Swahilivilla blog, Abou Shatry. baada ya kumaliza onyesho
Mtaalamu wa ngoma ya Kidumbaki Zanzibar, Makame Faki, wapili (kushoto), Suleiman Rajab (kulia) akipata picha ya pamoja na Muhammed Adam Dos, (wapili kulia) pamoja na (Omar) wa kwanza kushoto, baada ya kumaliza muziki wa taarab





No comments:
Post a Comment