If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Showing posts with label Mbowe. Show all posts
Showing posts with label Mbowe. Show all posts

Tuesday, April 2, 2019

BREAKING NEWS: Wapinzani 'WASUSIA' Bunge, Mbowe, Mdee, WATOKA Nje!

Kamati ya Bunge ya Haki na Maadili imewasilisha Bungeni Hoja ya kulitaka Bunge hilo kusitisha kufanya kazi na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali (CAG) Profesa Mussa Assad, kutokana na kauli yake ya kuliita Bunge hilo dhaifu...

Wabunge wamechangia hoja na kutoa maoni yao kuhusiana na hoja hiyo ambapo wanakinzana pande moja inakubaliana na hoja huku pande nyingine ikikataa na kudai kuwa CAG hana kosa lolote.

Wabunge wa Upinzani wamechukizwa na hoja hiyo na kuamua kutoka nje ya ukumbi wa Bunge.


Thursday, April 6, 2017

MBOWE, MDEE MBELE YA KAMATI YA MAADILI

Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza kukamatwa kwa mbunge wa Kawe Halima Mdee popote alipo na kufikishwa kwenye kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge





/

Thursday, January 12, 2017

Mbowe, Lissu kumtembelea Lema Jumamosi

Mwanasheria wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amesema yeye pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wanakusudia kwenda kumtembelea Mbunge wa Arusha katika gereza la Kisongo

Maoni yako