If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Thursday, November 15, 2018

BASHE BUNGENI: "Msije mkatuletea matatizo, kaeni mzungumze"

Moto waua watu wapatao 60 katika jimbo la California, Marekani

Moto waua watu wapatao 60 katika jimbo la California, Marekani
Maafisa wa jimbo la California nchini Marekani wametangaza kuwa, kutokana na serikali kuu kutochukua hatua za kuudhibiti moto uliozuka kwenye misitu ya jimbo hilo, idadi ya watu walioaga dunia hadi sasa kutokana na moto huo imefikia 59.

Maafisa wa jimbo la California wamesema, wakati moto huo unaendelea kuwaka katika misitu ya jimbo hilo kwa siku ya saba sasa, watu wasiopungua 59 wameshapoteza maisha na wengine zaidi ya 130 hawajulikani waliko.

Sehemu kubwa ya moto huo, unaojulikana kama Camp Fire na ambao unaendelea kuwaka katika sehemu tatu za jimbo la California kwa wakati mmoja, imelikumba eneo la kaskazini ya jimbo hilo.

Kwa mujibu wa maafisa wa jimbo la California, Camp Fire hadi sasa umeshateketeza hekta 137,000 za misitu ya kaskazini mwa jimbo hilo pamoja na nyumba karibu 9,000.

Watu wakifarijiana mbele ya magofu ya nyumba yao iliyoteketea kwa moto

Ripoti zinaeleza kuwa moto huo unaendelea kusambaa na bado haujazimwa.

Moto uliozuka siku ya Alkhamisi iliyopita katika jimbo hilo la California nchini Marekani umesababisha watu 52,000 wabaki bila makazi, wakati hadi sasa maafisa wa jimbo hilo wameweza kuwapatia hifadhi watu wapatao 1,400 tu.

Moto huo mkali umeugeuza jivu tupu mji wa Paradise katika jimbo hilo lililoko magharibi mwa Marekani.../

Chanzo: parstoday.com

African leaders meet for 'last push' on AU reforms

iStock

African leaders are set to gather this weekend for a special summit aimed at pushing through long-debated reforms to their pan-continental body.

The changes seek to streamline and empower the African Union - an ambitious call for an organisation often seen as toothless and donor-dependent, and analysts say time for forging a deal is short.

Egypt, which will assume the chairmanship of the AU early next year, has little interest in the reforms, they say.

The special summit is being held at AU headquarters in Addis Ababa this Saturday and Sunday at the insistence of Rwandan President Kagame, the pioneer of the reforms.

Elissa Jobson, head of African advocacy for the International Crisis Group (ICG) think tank, described the talks as a "last push" to enact as many changes before Kagame's one-year term as chairperson expires in January.

"The concern there is that Egypt is very unlikely to push the reforms forward, even if it doesn't try to reverse them," she said.

Donor funding

Long criticised for redundant bureaucracy and ineffectual decisions, the AU put Kagame in charge of reforming the body in 2016.

Jumuia ya Kiswahili kufundishwa na wanadiaspora

Viongozi wa Jumuia ya Kiswahili imeanzishwa katika mji mkuu wa Washington DC, wamesema wana nia ya kufundisha utamaduni na lugha ya kiswahili nchini Marekani. Via VOA

Wednesday, November 14, 2018

Lema awa Mbogo Bungeni, akabiliana na Naibu Spika na Wabunge wa CCM

LIVE: May answers PMQs in House of Commons ahead of special Brexit meeting

UK Prime Minister Theresa May answers questions in the House of Commons in London on Wednesday, November 14, ahead of a special cabinet meeting on Brexit.

The meeting is held after a draft deal was reached between UK and EU negotiators. If the cabinet agrees to the proposals, a Brexit summit with the EU's 27 leaders will be held on November 24 and 25.

KENYA: WABUNGE WAIBUA MASWALI KUHUSU MPANGO WA AFYA KWA WOTE

Na CHARLES WASONGA. NAIROBI, Kenya

WABUNGE wameelezea kutoridhishwa kwao na matayarisho kuelekea utekelezaji wa mpango wa Afya kwa Wote (UHC) katika kaunti nne nchini Desemba 2018.

Sicily Kanini Kariuki
Waziri wa Afya, Sicily Kanini Kariuki katika picha hii ya Desemba 13, 2017, kabla kuteuliwa kwa wadhifa wa sasa. Picha/KANYIRI KAHITO

Wabunge hao ambao ni wanachama wa kamati kuhusu afya wanaitaka Wizara ya Afya kutoa mwongozo kuhusu namna ambavyo itatumia Sh4 bilioni pesa zilizotolewa na serikali kuu pamoja na wafadhili katika mpango huo ambao utazinduliwa katika kaunti za Kisumu, Nyeri, Isiolo na Machakos.

Wabunge hao waliibua maswali hayo huku Waziri wa Afya Sicily Kariuki akiiambia kamati ya Seneti kuhusu afya Jumanne kwamba Wizara yake itatoa pesa zaidi za kufadhili mpango huo.

Bi Kariuki alisema Kisumu ndio itapata kiwasi kubwa cha pesa za ziada ya kima cha Sh819 milioni huku Isiolo, Nyeri na Machakos, kila mmoja zikipokea Sh780 milioni.

Na Sh800 milioni zitagharamia matatiba ya bura katika hospitali za level 5.

Wabunge hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Bi Sabina Chege pia waliibua maswali kuhusiana na kadi za muda ambazo zitatumika na wagonjwa mpango huo wa majaribio utakapong’oa nanga.

Ukimwi

Mpango huo utazinduliwa na Rais Uhuru Kenyatta mnamo Desemba 1 ikiwa ndiyo siku ya kuadhimishwa kwa Siku ya Ukimwi Duniani

Trump picks retired general John Abizaid as US ambassador to Saudi Arabia

AFP, WashingtonWednesday, 14 November 2018 

President Donald Trump on Tuesday tapped John Abizaid, a top US general from the Iraq war who has studied the Middle East for years, as ambassador to Saudi Arabia.

Abizaid is a fluent Arabic speaker of Lebanese Christian descent who headed US Central Command. (Centcom)

Abizaid is a fluent Arabic speaker of Lebanese Christian descent who headed US Central Command -- which covers the Middle East -- during the Iraq war from shortly after the US invasion in 2003 through 2007.

The 67-year-old wrote his master's thesis at Harvard University about Saudi Arabia, studying how the kingdom makes its decisions on defense spending, in a paper that won acclaim in academic circles.

A California native, Abizaid graduated from the US Military Academy at West Point and later won a scholarship to study in Jordan, where he honed his Arabic, which he did not speak as a child.

Trump has been slow in filling key posts amid his promises to shake up Washington.

Abizaid requires confirmation from the Senate, which would appear likely as the retired four-star general has long enjoyed respect in Washington.

Shortly after taking over as CENTCOM commander, Abizaid told reporters that US forces were facing a "classical guerrilla-type campaign" from remnants of Saddam Hussein's Baath Party.

Katika sakata la korosho, magari 70 ya JWTZ yaelekea Kusini

Magari 70 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania - JWTZ yaondoka jijini Dar es salaam kuelekea mikoa ya kusini. Ni kufuatia agizo la Rais John Magufuli la kulitaka jeshi hilo kubeba korosho itakayonunuliwa ma serikali kutoka mikoa hiyo.


UNHCR: Watu milioni 12 duniani hawana utaifa

UNHCR: Watu milioni 12 duniani hawana utaifa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi , UNHCR limesema kuna watu milioni 12 kote duniani ambao hawana utaifa.

Kwa mintarafu hiyo UNHCR inapigia debe Kampeni ya #I Belong au yaani 'mimi ni wa', ikitimiza miaka minne mwezi huu wa Novemba. Kwa munasaba huo, Kamishna Mkuu wa UNHCR, Filippo Grandi ametaka serikali zichukue hatua za haraka kuhakikisha ifikapo mwaka 2024 tatizo la watu kutokuwa na utaifa linatokomezwa.

Filippo Grandi ametilia mkazo hoja hiyo wakati huu ambapo idadi ya watu ambao hawana utaifa kote duniani inakadiriwa kuwa milioni 12.

Bwana Grandi ametaka hatua za haraka zichukuliwe kutatua tatizo hilo huku akisisitiza kuwa hatua hizo ni jambo muafaka kufanywa kimaadili, kiutu na kisiasa. Aidha ameongeza kuwa watu wasio na utaifa bado wanakabiliwa na changamoto kupata haki zao za msingi kama vile elimu, matibabu na ajira.

“Ondoeni sheria za kibaguzi ambazo ndio kichocheo cha ukosefu wa utaifa,” amesema Grandi ikieleza kuwa mataifa 25 duniani bado yana vipengele vya ubaguzi wa kijinsia ambavyo vinazuia watoto kupata uraia au utaifa wa mama zao kama ilivyo kwa upande wa baba.

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akizungumza na wamakonde baada ya kuwakabidhi uraia

Maoni yako